AJIRA KWA VIJANA

AJIRA KWA VIJANA смотреть последние обновления за сегодня на .

TANGAZO LA FURSA LA AJIRA KWA VIJANA

3448
18
5
00:05:36
06.05.2022

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #HabariZaUhakika #Zinjibartv Follow Zinjibartv Facebook | Zinjibartv INSTAGRAM |🤍Zinjibar_tv_online Wasiliana nasi kupitia number +255 773 878 523 +255 773 071 409 Zinjibartv Journalists cc: Safia Hussein cc: Swaleh Watamaama Camera Department" Muarabu Mmadi Editors: Ali Hassira Ramla Haji Abdillahi Said Dereva Ali Mohammed Video Zingine: Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE - HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA 🤍 🤍

Vijana eneo la Kwale washabikia ajira ya kazi za mikono ili kujikimu kimasiha

1295
18
4
00:04:05
31.01.2023

Vijana wengi sasa wameanza kushabikia ajira ya kazi za mikono ili kujikimu kimasiha na kuepuka kujiunga na makundi ya kihalifu na utumizi wa mihadarati. Katika kaunti ya Kwale kampuni ya kutengeneza viatu ya Josef Seibel, asilimia tisini ya wafanyikazi wake ni vijana ambao hawakua na ujuzi wa kushona viatu ambao waliajiriwa na kupata ujuzi huo wakiwa kazini.

Ajira kwa vijana katika bara Afrika | Afrika Mashariki

708
6
1
00:08:46
17.02.2019

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

JKT Kutoa Ajira Kwa Vijana Wenye Vipaji Vya Michezo

282
1
0
00:03:06
17.08.2017

Jeshi la kujenga taifa JKT limesema kuwa litaendelea kutoa ajira kwa vijana wenye vipaji vya michezo kwa kuwa wanamichezo hao wamekua wakililetea taifa sifa kubwa.

JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA NA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA

2900
12
0
00:03:22
19.12.2021

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, 🤍tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): 🤍 App Store (iOS): 🤍 Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: 🤍 Instagram: 🤍 Facebook: 🤍

Majibu ya Waziri wa Ulinzi kuhusu ajira kwa vijana wa JKT

406
2
0
00:04:01
16.09.2022

Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍

Sakata la ajira kwa vijana ‘lawaka’ bungeni, Wizara mbili zaungana ‘kuzima moto’

3895
15
5
00:04:53
23.05.2018

Naibu mawaziri wa Wizara ya Kazi na Ajira pamoja na Elimu, Sayansi na Teknolojia wamelazimika kuungana kujibu maswali ya wabunge badhaa ya sakata la ajira kwa vijana kuibuliwa bungeni.

🔴Live: RAIS SAMIA ALIA NA UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA - ''ASILIMIA 12 YA VIJANA HAWANA AJIRA''..

1193
4
2
00:23:31
13.10.2022

🔴Live: RAIS SAMIA ALIA NA UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA - ''ASILIMIA 12 YA VIJANA HAWANA AJIRA''.. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Mhe. Samia Suluhu Hassan amekishiriki Hafla ya Makabidhiano na Uzinduzi wa Chuo Cha Ufundi Stadi na Huduma Cha Mkoa wa Kagera katika Chuo Cha Veta - Burugo Mkoani Kagera Oktoba 13, 2022.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Episode 2 Ajira Kwa Vijana

4277
9
2
00:06:24
02.08.2012

kuwa mbunifu jitafutie ajira mwenyewe usisubiri kuajiliwa ..

Bunge Lalilia Ajira Kwa Vijana

302
0
0
00:03:01
10.04.2017

Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuweka mikakati ya kutoa ajira kwa vijana katika Halmashauri zote nchini

JWTZ WAFAFANUA AJIRA YA VIJANA WALIOPO MTAANI "Hakuna ajira kuna kuandikishwa | hatulipwi mishahara"

3888
15
7
00:04:16
09.03.2023

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK 👉👉 🤍 Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍

Waziri wa leba Florence Bore azindua mpango wa ajira kwa vijana Mombasa

625
5
0
00:05:44
05.12.2022

Waziri wa leba Florence Bore hii leo anatazamiwa kuzindua mpango wa kubuni ajira zaidi kupitia vyuo vya kiufundi. Uzinduzi huo unaofanyika katika taasisi ya nita kaunti ya Mombasa unalenga kuwawezesha wanaopokea mafunzo kujiajiri wanapomaliza masomo yao

Mradi wa ajira kwa vijana kupitia upanzi wa miti utafaulishwa kaunti zote

131
1
0
00:01:26
12.12.2022

Serikali imebadilisha ajira ya kazi mtaani kupitia mradi wa upanzi miti sasa mfumo wa kusafisha mito katika jiji la Nairobi na kupanda miti, ni ajenda iliyokuwa sehemu ya hotuba za rais William Ruto na gavana wa Nairobi Johnson Sakaja katika sherehe za 59 za jamhuri. Rais Ruto na gavana Sakaja wana matumaini ya kuwa na muonekano bora zaidi wa Nairobi, na kubuni nafisi za ajira kwa maelfu ya wakenya nhini

KnowledgeTv by ESRF S01E10 - Ukuaji wa Uchumi na Ajira kwa Vijana

258
1
1
00:04:30
30.09.2015

Dr. Georgina Ole Saibul, Mtafiti Mshiriki ESRF akieleza kwa Ufupi kuhusu suala la Ukuaji wa Uchumi na Ajira kwa Vijana

Mjadala | Nafasi za ajira kwa vijana

428
6
0
00:15:17
01.11.2018

Utafiti wa mwaka huu watoa taswira asili mia 40 ya wakenya hawana kazi. KNBS: wakenya milioni 7 hawana ajirawa, kenya milioni 1.4 watafuta kazi Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Makali ya ukosefu wa ajira kwa vijana nchini

149
2
0
00:03:22
02.03.2020

Vijana zaidi ya elfu moja wamejitokeza kutafuta ajira katika duka moja la kijumla katika kaunti ya Kakamega idadi ambayo iliwashangaza wengi.

Vijana Kajiado waanzisha kituo cha redio kwa ukosefu wa ajira

294
7
4
00:02:55
16.03.2023

#Trending #KTNNews #livestream #ktnprime KTN News Live ~ Streaming Kenya, Africa and World news and programmes 24/7 Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World. Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live 🤍 Watch KTN News 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

Siku ya Vijana Duniani: Vijana wakiongelea ajira kwa vijana na fursa ya uongozi

7170
8
0
00:03:28
12.08.2014

Siku ya Vijana Duniani: Vijana wakiongelea ajira kwa vijana na fursa ya uongozi

Serikali yatenga nafasi 30,000 za ajira mwaka 2022/23

3849
11
2
00:05:54
10.11.2022

Serikali imetenga nafasi 30,000 za ajira kwa kada mbalimbali katika mwaka wa 2022/23, bunge limeelezwa leo. Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Deo Ndejembi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Novemba 10,2022 ambapo amesema mchakato wa ajira hizo unaendelea. Ndejembi alikuwa anajibu swali la mbunge Viti Maalum Asia Halamga (CCM) ambaye ametaka kujua ni lini Serikali itaajiri wataalamu wa mazingira ili kusaidia kuweka vema mazingira

Nafasi za ajira | Vijana wa NYS kupewa kipaumbele

556
2
00:04:02
03.03.2023

Rais William Ruto ameagiza kwamba asilimia 30 ya nafasi za ajira katika wizara za usalama wa taifa, mazingira na jinsia zitengewe vijana wanaohitimu kutoka shirika la hduma ya vijana kwa taifa, NYS. Akiongea wakati wa sherehe ya kufuzu kwa makurutu wa shirika hilo huko Gilgil, rais Ruto alisema hatua hiyo itahakikisha makurutu hao ambao hupitia mafunzo kabame ya miezi kadha wanapata nafasi ya kuhudumia taifa katika viwango mbalimbali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Find us on Facebook: 🤍 Check our website: 🤍 #KBCchannel1 #NYS #News #williamruto

Kaunti ya Nakuru yazindua mpango wa ajira kwa vijana

1180
6
1
00:04:43
07.10.2022

Gavana wa kaunti ya Nakuru Susan Kihika na balozi wa taifa la Uholanzi nchini Kenya Maarten Brouwer wanatarajia kuzindua hazina ya vijana itakayowawezesha kufanya biashara kama njia moja ya kufadhili utoaji ajira kwa vijana

Serikali Ya Kaunti Mombasa Yazindua Mradi Wa Ajira Kwa Vijana

144
3
0
00:02:13
29.12.2022

Zaidi Ya Vijana 2,000 Kaunti Ya Mombasa Wanatarajiwa Kunufaika Na Nafasi Za Ajira Chini Ya Kitengo Cha Vijana Na Michezo Na Utamaduni Cha Kaunt Hiyo.Akizungumza Katika Uzinduzi Wa Mpango Huo Gavana Wa Mombasa Abdulswamad Nassir Amesema Zoezi Hilo Linalenga Kukabili Ukosefu Wa Kazi Miongoni Mwa Vijana.

DIAMOND AMETANGAZA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA ZANZIBAR.

544
9
0
00:08:09
13.12.2022

Msanii wa muziki wa bongo fleva Diamond platnumz ambae ni mkurugenzi wa Wasafi Media Leo amezindua ofisi za studio za Wasafi FM Zanzibar. #gbtvone. #we Learn Together. #Diamond Platnumz.

Ahadi ya Raila Odinga | Ajira kwa Vijana kupewa Kipaumbele

24
0
00:03:08
11.05.2022

Mwaniaji urais wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga ameahidi kuangamiza umaskini na kubuni nafasi za ajira kwa vijana iwapo atachaguliwa kuwa rais kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti tisa. Raila anayefanya ziara ya siku nne katika eneo la pwani amesema kuwa vijana ndio wengi humu nchini na wanafaa kusaidiwa kutoa mchango kamili kwa ustawi wa nchi hii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Find us on Facebook: 🤍 Check our website: 🤍 #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #AzimiolaUmoja #RailaOdinga #AjirakwaVijana

HOJA MEZANI | Jee ni kweli kua ufinyu wa ajira kwa vijana una sababisha na mfumo wa elimu chini?

447
8
0
00:46:02
17.01.2023

Wewe kama ni kijana na Ungana na mwana habari wetu pamona na wachambuzi mbalimbali kujua jibu sahihi la suali hili na kujifunza mengi zaidi ili uweze kujinasua na changamoto hiyo.

JOHARI ATOA AJIRA KWA VIJANA 120 KUPITIA TAMTHILIA YA MAJI YA SHINGO

262
3
0
00:10:24
28.05.2022

JOHARI ATOA AJIRA KWA VIJANA 120 KUPITIA TAMTHILIA YA MAJI YA SHINGO

DKT MWINYI AFUNGUKA SUALA LA AJIRA KWA VIJANA ZANZIBAR | PEMBA KUNEEMEKA

2892
17
1
00:02:50
13.05.2021

#RiyadhTvZnz #Zanzibar #DktMwinyi

TCCIA, Makongoro wahimiza uwekezaji Manyara kuongeza ajira na fursa kwa vijana

177
3
0
00:03:25
26.10.2022

Mkuu wa mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere amesema serikali mkoani humo itaendelea kuunga mkono jitihada za wawekezaji wa viwanda ili kutoa fursa za ajira kwa vijana ili kupunguza wimbi la uhaba wa ajira nchini. Makongoro Nyerere amesema hayo wakati akifunga monesho ya wafanyabiashara na wajasiriamli wadogo huku Makamo mwenyekiti ya viwanda mkoa wa Manyara David Mulokozi akisisitiza wawekezaji mkoani hapo kutoa fursa za ajira kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo.

Ajira kwa vijana katika Kaunti ya Turkana

1574
14
0
00:02:34
21.08.2019

Kwa minajili ya kuhakikisha vijana wanachangamkia kilimo biashara kwa lengo la kuepusha baa la njaa ambalo hutokea mara kwa mara Turkana, vikundi 8 kutoka wadi ya Katilu vimepewa ufadhili wa shilingi milioni kumi na moja ili kufanikisha miradi hiyo.

Ajira Kwa Vijana

201
2
0
00:03:10
02.11.2016

Je, serikali imefikia wapi katika kutekeleza sera yake ya ajira kwa vijana kupitia sekta ya kilimo? Haya hapa ni majibu ya serikali

Tatizo La Ajira Kwa Vijana

960
2
0
00:04:28
27.04.2016

Je ni kwa namna gani serikali inaweza kutumia taarifa za tafiti zilizofanywa na taasisi ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana.

Ajira kwa vijana

7088
35
15
00:06:19
20.06.2019

Rais Uhuru Kenyatta azindua mpango wa ajira kwa vijana Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Ajira kwa vijana katika kaunti ya Nyandarua

272
0
0
00:01:31
21.06.2019

Kaunti ya Nyandarua imezindua mfumo wa ajira wa kidijitali unaohusisha vijana katika kaunti hiyo. Mfumo huo utawezesha watu kufanya kazi kwa njia ya simu, tarakilishi au vipakatalishi ili kuytoa nafasi zaidi za kazi Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Lema asisitiza Bobaboda sio ajira kwa vijana

449
5
1
00:03:41
05.03.2023

Mwenyekiti wa chadema Kanda ya kaskazini Godbless Lema ameeleza serikali lazima asaidie upatikanaji wa ajira zenye staha kwa vijana na biashara ya Bodaboda haiwezi kubadili maisha ya vijana. #nbcpremierleague #azamsportsfederationcup #yanga #yangasc #simba #simbasc #nguvumoja #timuyawananchi #lema

Назад
Что ищут прямо сейчас на
AJIRA KWA VIJANA $$$ Ryzen Processors pilps nvenc premiere pro vampiros FIFA 22 CRACK use your phone as webcam zabbix hyper v black screen mobile hang таёжный sul de minas spy x family ed normals sleeps high on life review gas geyser repair imei via code rekordbox mix nabi Adam