IGP SIMON SIRRO смотреть последние обновления за сегодня на .
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
IGP Simon Sirro, muda mfupi baada ya kuapishwa, amezungumza na waandishi wa habari ikulu jijini dar es Salaam ambapo amemshukuru mheshimiwa rais kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kuliongoza jeshi la polisi. Visit 🤍 Subscribe 🤍 Huku mara kwa mara akikumbwa na kigugumizi kutokana na furaha, IGP Sirro amesema kazi yake kubwa anayokwenda kuifanya, ni kuhakikisha wananchi wote na mali zao wapo salama, akasisitiza kwamba watahakikisha wahalifu wote wanatoweka. Akaongeza kwamba ushirikiano kati ya raia na jeshi la polisi ndiyo pekee unaoweza kumaliza uhalifu nchini. Visit 🤍 Subscribe 🤍 Kuhusu mauaji yanayoendelea kutingisha Kibiti, Mkuranga na Rufiji, Kamanda Sirro amesema anahitaji kwenda eneo la tukio na kulisoma zaidi ili kujua mbinu inayoweza kutumika kumaliza wimbi la mauaji kwenye ukanda huo. Visit 🤍 Subscribe 🤍 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Mei, 29, 2017 amemuapisha rasmi aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) akichukua nafasi ya Ernest Mangu. Visit 🤍 Subscribe 🤍 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… 🤍 🤍 🤍 WEBSITE: 🤍 FACEBOOK: 🤍 TWITTER: 🤍 INSTAGRAM: 🤍
Wiki moja tangu IGP Simon Sirro aapishwe na JPM kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, leo June 6, 2017 Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amefanya ziara yake ya kwanza Kibiti na Mkuranga kutimiza ahadi baada ya kuombwa na wazee wa maeneo hayo. Eneo hilo la Pwani ni miongoni mwa maeneo ambayo mauaji yameripotiwa.
IGP SIRRO Alivyompa Makavu MAMBOSASA - ''HUO NI USHAMBA'' MKUU wa jeshi la polisi nchini, IGP Simon Sirro, amefanya mkutano na makamanda wa polisi wa mikoa na wilaya nchini wenye lengo la kupanga mikakati ya namna ya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza hivi karibuni pamoja na usalama wa raia na mali zake nchini. 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Website: 🤍globalpublishers.co.tz FaceBook: 🤍facebook.com/globalpublishers Instagram: 🤍instagram.com/globalpublishers Twitter: 🤍twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App
Mwanahabari digital Fuatilia Channel ya habari za kijamii,siasa zinazohusu Tanzania Akaunti zetu za mitandao ya kijamii Instagram: habari_digital, Facebook:Mwanahabari digital Twitter:HabariDigital Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia
Mhashamu Baba askofu Simon Masondole askofu wa jimbo katoliki la Bunda amepongeza kitendo cha kizalendo cha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, kwa kuwa mzalendo na kuchangia maendeleo kwa kujenga kanisa kitendo ambacho kitakuwa daraja litakalowezesha kuvusha wengine katika kuufikia wokovu. Askofu Masondole amesema hayo Musoma Mkoani Mara wakati akiongoza ibada ya Misa takatifu iliyoambatana na ufunguzi wa kanisa kigango cha Muliaza parokia ya Butiama, kanisa ambalo limejengwa kupitia uwezeshaji wa IGP Sirro, wadau pamoja na watu wengine waliofanikisha ujenzi wa kanisa hilo. Naye Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewapongeza wadau mbalimbali walioshirikiana nae hadi kukamilisha ujenzi wa kanisa hilo ambapo pia amewataka watu wengine kuendelea kukumbuka mazingira ya nyumbani kwao wanakotoka kwa kusaidia jitihada mbalimbali za kuleta maendeleo.
Rais John Magufuli amteua kamishina wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro kuwa mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP).
Kwenye ufunguzi wa mashindano ya SIRRO Cup, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro alikuwa mgeni na aliamua kuthibitisha kuwa na yeye 'yumo' kwenye soka. Hiki ndicho alichokifanya
IGP SIRRO - ''JIANDAENI Kutafuta IGP MPYA, Muda Wowote KIKILIPUKA.....'' MKUU wa jeshi la polisi nchini, IGP Simon Sirro, amefanya mkutano na makamanda wa polisi wa mikoa na wilaya nchini wenye lengo la kupanga mikakati ya namna ya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza hivi karibuni pamoja na usalama wa raia na mali zake nchini. 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Website: 🤍globalpublishers.co.tz FaceBook: 🤍facebook.com/globalpublishers Instagram: 🤍instagram.com/globalpublishers Twitter: 🤍twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App
Facebook: 🤍 Twitter: 🤍 Subscribes: 🤍
.Mei 17, 2021 Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : 🤍 Facebook : 🤍 Twitter : 🤍 Instagram : 🤍
Ernest Mangu, aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), amewataka waaandishi wa habari kumpa ushirikiano IGP mpya, Kamanda Simon Sirro kama walivyokuwa wakimpa yeye. Visit 🤍 Subscribe 🤍 Akizungumza na waandishi wa habari ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kumuapisha, Mangu alisema nchi inapitia kipindi kigumu cha uhalifu mkubwa kuliko uliowahi kutokea. Visit 🤍 Subscribe 🤍 Alipoulizwa kuhusu mauaji yanayoendelea Rufiji na Kibiti mkoani Pwani, mangu alisema hawezi kuzungumzia chochote, akaongeza kwamba Sirro amekuwepo kwenye jeshi la polisi kwa muda mrefu na amekuwa akishirikiana naye kwa karibu hivyo hata mbinu za kupambana na uhalifu, anazijua vizuri. Visit 🤍 Subscribe 🤍 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… 🤍 🤍 🤍 WEBSITE: 🤍 FACEBOOK: 🤍 TWITTER: 🤍 INSTAGRAM: 🤍
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro na Makamanda wote Nchini wameagizwa kuchukua hatua za kuwadhibiti baadhi ya maafisa wanaojihusisha na vitendo vya kupokea rushwa, ubambikizaji wa kesi kwa Wananchi, kutumia nguvu kupita kiasi pamoja na kutoa huduma hafifu kwa Wananchi.
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : 🤍 Facebook : 🤍 Twitter : 🤍 Instagram : 🤍
WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
RAIS SAMIA ALIVYOMVALISHA CHEO IGP MPYA KWA UKAKAMAVU, SIRRO AKISHUHUDIA... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) 2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi Luteni Jenerali MATHEW EDWARD MKINGULE, kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia 4. Dkt. SULEIMAN HAJI SULEIMAN kuwa Balozi ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍
Facebook: 🤍 Twitter: 🤍 Subscribes: 🤍
IGP Simon Sirro, ameapishwa rasmi kushika wadhifa wa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP), nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Ernest Mangu. Visit 🤍 Subscribe 🤍 IGP Sirro ameapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, ikulu jijini Dar es Salaam, hafla ambayo imehudhuriwa na makamu wa rais na viongozi wengine mbalimbali wa nchi, akiwemo Mangu. Visit 🤍 Subscribe 🤍 Zoezi la kuapishwa, lilienda sambamba na kula kiapo cha maadili ya utumishi wa umma kisha likafuatia zoezi la upigaji wa picha za pamoja. kabla ya kuteuliwa kuwa IGP, Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Visit 🤍 Subscribe 🤍 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… 🤍 🤍 🤍 WEBSITE: 🤍 FACEBOOK: 🤍 TWITTER: 🤍 INSTAGRAM: 🤍
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, anaongea na Waandishi wa habari katika Makao Makuu ya Jeshi hilo, ikiwa ni masaa kadhaa tangu kupatikana kwa Mfanyabiashara Mohamed Dewji, 'MO' aliyetekwa juma lililopita jijini Dar es Salaam.
#ITVTanzania #Dakika45 #Mubashara Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : 🤍 Facebook : 🤍 Twitter : 🤍 Instagram : 🤍
Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola amekutana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Sirro na maofisa wengine wakuu wa Jeshi hilo, Makao makuu ya Polisi DSM.
IGP Simon Sirro akizungumza na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kelema wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Arusha Alilazimika kusimama na kuzungumza na wananchi hao kufuatia kitendo chao cha kufunga barabara kuu ya Dodoma, Babati kwa kuweka mawe barabarani na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine.
Leo 26.05.2021 Afande IGP Sirro amekutana na kuzungumza na maofisa na askari wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni ambapo amewaagiza askari kutimiza wajibu wao mahala pa kazi, kutenda haki kwa wananchi wanaowahudumia sambamba na kudumisha nidhamu ya kazi.
IGP Simon Sirro amewachimba mkwara mzito watu wanaoendesha mauaji ya viongozi wa serikali, chama na askari kwenye silaya za Mkuranga, Ikwiriri na Rufiji na kuwahakikishia wananchi kwamba siku zao zinahesabika. Akizungumza na waandishi wa habari, kamanda Sirro amesema Visit 🤍 Subscribe 🤍 Kwa upande wa sakata la mwanamke kudaiwa kuibiwa kichanga chake kwenye Hospitali ya Temeke, Waziri Ummy amesema baada ya mwanamke huyo kukataa ripoti ya mganga mkuu inayoonesha kwamba hakuwa na watoto mapacha, ameamua kuunda kamati maalum itakayohusisha jopo la wataalam ambapo watatoa majibu baada ya siku 14. Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… 🤍 🤍 🤍 WEBSITE: 🤍 FACEBOOK: 🤍 TWITTER: 🤍 INSTAGRAM: 🤍
#LIVE: IGP Simon Sirro anazungumza muda huu kuhusu tukio la mauaji Dar
#MUBASHARA: MAHIJIANO NA MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA IGP. SIMON SIRRO
#Polisi #IGPSIMONSIRRO #Tanzania Kutazama Vipindi murua vya Kwanza TV LIVE na BURE KABISA click: 🤍 Tunakushushia Makala za moto 🔥, Movies, Breaking news, TV Shows, Music Videos, Comedy and exclusive Interviews wakati wote na popote. SUBSCRIBE katika channel yetu ya YouTube kwa video za nguvu. 🤪 Follow Us On Our Social Media Pages: Facebook: 🤍 Twitter: 🤍 Instagram:🤍
IGP Simon Sirro, akizungumza na WAANDISHI WA HABARI siku ya leo Ijumaa, Oktoba 19, 2018, kwenye ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam. #KwanzaHabari
IGP wa Tanzania, Simon Sirro amefanyya kikao na IGP mwenzake kutoka nchini Rwanda na wawili hao wametoa onyo kwa wahalifu wanaofanya matukio baina ya Tanzania na Rwanda. Watazame hapa.
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews🤍gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: 🤍